YANGA, mabingwa wa soka nchini wanaopeperusha bendera ya Tanzania
katika Ligi ya Mabingwa Afrika, wamelihama kwa muda Jiji la Dar es
Salaam na kwenda kujichimbia kambini Pemba kujiandaa kwa mchezo wa hatua
ya 16 Bora ya ligi hiyo dhidi ya Al Ahly ya Misri.
0 Response to "Yanga yaiendea Al Ahly Pemba"
Post a Comment