ADHABU za Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Nchini (TFF) dhidi
ya wadau wa michezo wanaohusishwa na upangaji wa matokeo katika Kundi C
la Ligi Daraja Kwanza msimu huu, limemgusa aliyekuwa Naibu Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia na kuitaka serikali
kuingilia kati.
0 Response to "Adhabu za TFF zamshtua Nkamia"
Post a Comment