Ligi ya EPL kurejelewa wikendi



ofiris.blogr

Ligi Kuu ya Uingereza itarejelewa wikendi hii baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa Jumamosi kukiwa kumeratibiwa mechi nane.
Aston Villa watatanguliza kwa kuwakaribisha Chelsea kwao nyumbani, huku Tottenham wakifunga siku kwa mechi ugenini Liverpool.
Ratiba ya mechi:
Jumamosi 2 Aprili (Saa za Afrika Mashariki).

0 Response to "Ligi ya EPL kurejelewa wikendi"

Post a Comment