Unknown 21:46 Sports Edit Adolph Rishard awapa Yanga mbinu Adolph Rishard awapa Yanga mbinu KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Kagera Sugar, Mohammed Rishard `Adolph’ aliyewahi kuichezea Yanga, ameionya klabu yake hiyo ya zamani akisema inapaswa kuwa makini na staili yao ya kucheza pasi nyingi na fupi. Tweet
0 Response to "Adolph Rishard awapa Yanga mbinu"
Post a Comment